Simba mmoja aliyetoroka mbuga ya taifa ya wanyamapori ya Nairobi nchini Kenya amepigwa risasi na kuuawa na maafisa wa kutunza wanyamapori baada ya kumshambulia na kumjeruhi mtu mmoja. Simba huyo ...
Shirika la kimataifa la kuhifadhi wanyama na mazingira, WWF, limezindua ripoti juu ya umuhimu wa kuilinda mbuga ya wanyama ya Virunga iliyopo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Ripoti ya ...